Sakata la Makontena: Polisi Kwa Kushirikiana na TRA Wakamata Makontena 9
Maofisa wa Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA, wanayashikilia makontena 9 Mbezi Tanki Bovu baada ya kuyatilia shaka kuwa yalikuwa yanasafirishwa kinyememela usiku wa kumakia leo

Post a Comment