Mwanamuziki Diamond Platnumz Aweka Historia Tena Dar Live...Angalia Alichofanya Hapa.
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii.Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live.Mashabiki baada ya kupagawa na shoo.…Akiongea na mashabiki wake.Akiwasalimia mashabiki.
(PICHA: MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)
Post a Comment