Header Ads

KIKWETE NA MAMA SALMA WAJITOKEZA KUFANYA USAFI.

Raisi wa Awamu ya 4 Mh Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete nao wapo kwenye maeneo yao hivi sasa wanafanya Usafi. #UhuruWaUsafi #UsafiDay

No comments