Header Ads

KANUSHO:MKUU WA MKOA GEITA AMSIMAMISHA MKURUGENZI WA HALMASHAURI.

PAULBAHEBE BLOG inapenda kuomba radhi na kukanusha habari iliyochapwa kimakosa na kupewa kichwa kisemacho MKUU WA MKOA GEITA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA HALMASHAURI.
Habari hii ilichapishwa kimakosa kwani aliyesimamishwa ili kupisha uchunguzi ni Mhandisi wa Halmashauri ya mji.Tutakuletea habari kamili juu ya tukio hili PAULBAHEBE inaomba radhi kwa Mkurugenzi na watu wote waliopata taarifa hii.

No comments