Header Ads

Familia ya Nyerere katika ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu jana Oktoba 14.


Mama Maria Nyerere, mjane wa baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana aliungana na Wananchi wa kijiji cha Butiama katika misa takatifu ya kumbukumbu ya miaka 16 baada ya kifo cha muasisi wa Taifa la Tanzania, ambapo viongozi wa dini waliongoza misa iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Butiama huku suala la amani kuelekea uchaguzi mkuu likihubiriwa.

Padre Bahitwa akiongoza misa.
 
Mama Maria Nyerere akiwa na watoto wenye albinism.
Waumini wakitoka kanisani
Mama Maria akisalimiana na watu mbalimbali mara baada ya misa.
Mama Maria akiwa na mtoto wake, Madaraka huko Mwitongo mara baada ya ibada.


No comments