Header Ads

PICHA:CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) JIMBO LA GEITA MJINI KIMEZINDUA KAMPENI ZAKE.

PICHA NA PAUL BAHEBE
Chama cha mapinduzi CCM jimbo la Geita mjini juzi jumamosi kilizindua kampeni zake katika viwanja vya Nyankumbu Geita mjini.


    Mgombea ubunge kupitia CCM Mh. Constantine John Kanyassu akiwasili katika viwanja vya    Nyankumbu.

 Mgombea ubunge jimbo la Geita mjini kupitia Chama cha mapinduzi CCM  mh.Constantine John Kanyassu akiwapungia mkona wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za chama hicho.



 Umati wa watu waliojitokeza uwanjani hapo wakionyesha furaha zao kwa mgombea ubunge jimbo la Geita Bw.Constantine Kanyassu.




 Kikundi cha kina mama wa CCM (MOTI) kutoka kijiji cha Mgusu wakiimba nyimbo za kumsifu mgombea ubunge jimbo la Geita mjini mh. Constantine Kanyassu.



No comments