MKUTANO WA LOWASSA WAAHIRISHWA KUTOKANA NA WINGI WA WATU.
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Mh.Edwrad Lowassa jana alilazimika kuahirisha mkutano mjini Tanga baada ya maelfu ya wakazi waliojitokeza kushindwa kuenea ndani ya uwanja wa Tangamano jijini Tanga
Kwa mara ya kwanza ndani ya jiji la Tanga shughuli zote zinazofanyika katika mitaa ya barabara ya 4, 5,6,7, 8 zililazimika kusimama kwa muda baada ya maelfu ya wakazi wa jiji hilo waliojitokeza katika uwanja wa Tanagmano, hali iliyopelekea kushindwa kuendelea kwa mkutano huo kwa sababu watu walianza kuzimia kwa kasi
Akina mama, watoto wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzimia
Watu wakiwa wamezimia baada ya kukosa hewaGharika la Lowassa
Post a Comment