Header Ads

LOWASSA KUTUA GEITA UWANJA WA MAGEREZA LEO.




Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Geita inaelezwa kuwa mgombea urais wa chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Mh. Edward Lowassa leo anatarajiwa kuwasili mkoani Geita akiendelea na ziara yake katika mikoa mbali mbali katika kunadi sera za chama hicho.


Mkutano huo unatarajiwa kufanyika katika viwanja vya magereza mkoani hapa kuanzia majira ya saa 9 mchana hadi saa 12 jioni.

No comments