Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa mjini Kibondo, Kigoma. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa, Kibondo, Kigoma.Akihutubia kwa nyakati tofauti, katika mikutano ya kampeni zake mkoani Kigoma, amekuwa akihimiza kudumisha amani nchini ambapo pia aliwataka viongozi wa kisiasa kuhubili sulala hilo katika mikutano yao. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja Kasulu, Kigoma. Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk ,Magufuli alipokuwa akijinadi katika Jimbo la Buhigwe, Kigoma Dk Magufuli akihutubia alipokuwa akifanya kampeni katika Kijiji cha Munanila, wilayani Buhigwe, Kigoma Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Buhigwe Albert Ntabaliba 'Obama' huku mmoja wa wagombea udiwani askishangilia wakati wa mkutano wa kampeni mjini Munanla Buhigwe, Kigoma leo Mkazi wa Mji wa Munanila akisikiliza kwa makini Dk Magufuli alipokuwa akijinadi kwa wananchi katijka Jimbo la Buhigwe Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli huku wakiwa na matawi ya miti katika Mji wa Munanila, Jimbo la GBuhigwe, Kigoma Mama akiwa na mkungu wa ndizi alipokuwa akimsikiliza Dk Magufuli katika Kijiji cha Mvugwe wilayani Kasulu Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akijinadi mjini Buhigwe, Kigoma leo Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Buhigwe Albert Ntabaliba 'Obama' katika kkiutano wa kampeni katika mji wa Buhigwe Ni furaha iliyoje kwa wananchi baada ya kufurahishwa na sera za CCM zilizokuwa ziktolewa na Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Buhigwe leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja Kasulu, Kigoma Dk Magufuli akiwanadi Daniel Nsanzugwako (kulia) anayegombea ubunge kupitia CCM katika Jimbo la Kasulu Mjini na Agustino Zuma Ole anayewania ubunge jimbo la Kasulu Kusini kupitia chama hicho Dk Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge Jimbo la Kasulu Kusini, Agustino Ole Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni Wananchi wakimrekodi kwa simu Dk Magufuli alipokuwa akihutubia katika moja ya vijijini wilayani Kibondo leo
Post a Comment