RAIS KIKWETE AHUDHURIA JUBILEI ZA WATAWA LUGOBA.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Sista.Perpetua(kushoto) aliyekuwa anaadhimisha miaka 50 ya utawa na Sista Ponsiana(kulia) aliyekuwa anaadhimisha miaka 25 ya utawa .Maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa Katoliki Lugoba jana.
(Picha na Freddy Maro).FULL SHANGWE BLOG
Post a Comment