Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli amesema akishinda Urais atagawa Kompyuta mpakato(Laptop) kwa kila mwalimu nchi nzima. Amesema atachukua hatua hiyo ili kuinua kiwango cha Elimu Nchini. Pia ameahidi Mil. 50 kila Kijiji kukuza Uchumi akishinda Urais. RAIA MWEMA
Post a Comment