LIPUMBA AJIVUA UONGOZI NDANI YA CUF NA KUBAKI MWANACHAMA WA KAWAIDA.
Profesa Ibrahim Lipumba ametangaza rasmi mbele ya waandishi wa habari leo kuwa amejivua rasmi uongozi ndani ya chama chake cha CUF na kuwa atabaki kuwa mwanachama wa kawaida wa chama hicho mapema hii leo.
Lipumba ameeleza sababu za kufanya hivyo ni pamoja na kutoelewana na viongozi wenzake ndani ya umoja wa katiba ya wananchi UKAWA juu ya kupokea baadhi ya makada na viongozi wanaojiunga ndani ya vyama hivyo wakitokea chama tawala cha CCM.
Taarifa zaidi tutaendelea kukupatia kupitia hapa PAUL BAHEBE BLOG.
Post a Comment