Header Ads

WAKRISTO NCHINI KENYA WAITAKA SERIKALI KUWATIA MBARONI MANABII WA UONGO.

Wakristo nchini Kenya, wameitaka serikali kukabiliana na wahubiri wa urongo wanaojiita kwa majina ya Manabii huku wakitumia nguvu za giza kutapeli umma. Hayo yamejiri kufuatia kuongezeka vitendo vya utapeli vinavyofanywa na watu hao kwa madai ya kuwaongezea kipato waumini hao na kisha kuwaibia kabisa pesa walizokuwa nazo.
Wakristo nchini Kenya waitaka serikali kuwatia mbaroni manabii wa uongo

No comments