Header Ads

AJALI NYINGINE TENA BASI LAUA NA WENGINE KUJERUHIWA DODOMA.








Basi la Simiyu Express likiwa eneo la tukio


Zaidi ya watu sita wanadaiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya ya basi la Simiyu Express ikitoka Simiyu kwenda Dar es salaam leo Julai 22,2015  katika eneo la Chalinze Nyama mkoani Dodoma.


Mwandishi wa Paulbahebe.blogspot aliyeko eneo la tukio anasema chanzo cha ajali inasemekana ni kupasuka kwa tairi la mbele la basi hilo kisha kugonga mbuyu jana majira ya saa moja usiku.

Majeruhi walikimbizwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya matibabu na kwamba watu waliopoteza maisha ni wengi na majeruhi ni wengi.

No comments