Header Ads

ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA NA UPUNGUFU WA BVR.

Wananchi katika kata ya kalangalala kituo cha kivukoni  wilayani Geita wakiwa wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha hata hivyo mashine iliyopo ni moja hali iliyopelekea kuwa na msongamano mkubwa wa watu katika kituo hicho,na wengine kutoka kata nyingine pia wamefika kujiandikisha kwani katika kata zao waliachwa kwa madai kuwa muda uliopangwa umeisha.

No comments