UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA LAENDELEA MKOANI GEITA KWA AWAMU YA PILI KATIKA KATA ZA NYANKUMBU NA KALANGALALA.
Wananchi wakiwa katika kituo cha kujiandikishia katika shule ya sekondari Aloysius kata ya kalangalala mkoani Geita,ambapo wazee na wajawazito wamekuwa wakipewa kipaumbele.Huku watu kutoka kata nyingine,fujo, kutopewa kipaumbele kwa wazee na uchache wa vitendea kazi vikitajwa kuwa ni changamoto katika baadhi ya maeneo.
Wamama wenye watoto wakisubili kujiandikisha.
Mmoja kati ya wakazi wa eneo la Msalala road kata ya kalangalala akiweka mkono kwenye mashine ya BVR. picha na Paul B William.
Wamama wenye watoto wakisubili kujiandikisha.
Mmoja kati ya wakazi wa eneo la Msalala road kata ya kalangalala akiweka mkono kwenye mashine ya BVR. picha na Paul B William.
Post a Comment