Header Ads

MBUNGE WA GEITA AFARIKI DUNIA.

 AILIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA GEITA(CCM)MHESHIMIWA DONALD KELVIN MAX(58) AMEFARIKI DUNIA.KUFUATIA TAARIFA ILIYOTOLEWA NA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. ANN MAKINDA KWA WABUNGE NA UMMA KWA UJUMLA,MH. MAX AMEFARIKI TAREHE 23 JUNE KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA,TAARIFA ZAIDI ZITAENDELEA KUTOLEWA NA BUNGE KWA KUSHIRIKIANA NA FAMILIA IKIWA NI PAMOJA NA RATIBA YA MAZISHI.
Imetolewa na;
Ofisi ya Bunge,
Idara ya habari,Elimu kwa umma na
Uhusiano wa kimataifa
     DODOMA
23 JUNE 2015

No comments