Header Ads

KINANA ATIA FORA MWANZA MJINI, MAELFU WAFURIKA MKUTANONI UWANJA WA FURAHISHA JANA,AWAPIGIA SALUTI.

 Katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti maelfu ya wakazi wa mwanza waliojitokeza kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwaja vya Furahisha jijini mwanza.
Katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyesha dole gumba alama ya chama hicho kumaanisha mambo safi,kushoto ni katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye.
 Malkia wa mipasho Khadija Kopa akitumbuiza mashabiki katika mkutano huo wa hadhara.
 Katibu mkuu wa CCM akilakiwa na maelfu waliojitokeza katika mkutano wake viwanja vya furahisha mwanza jana.
 Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi mkuu  uliopita Twalib Ngika akitangaza rasmi kujiunga na CCM jana.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa mwanza Anthony Diallo akiwahutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa katibu mkuu jana viwanja vya furahisha.
 Mkuu wa mkoa wa mwanza Magesa Mlongo akiwahutubia maelfu ya wananchi katika mkutano huo hapo jana.
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo.

No comments