Header Ads

FAIZA AWASHUKIA WANAOJIDAI KUMREKEBISHA ,ADAI WAMKOME.


Faiza Awashukia Wanaojidai Kumrekebisha, Adai Wamkomee

Kutoka kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao picha wa instagram,Faiza Ally ameandika;
Nyinyi mnao kuja hapa na kunirekebisha komeni- nendeni makwenu mkarekebishe familia zenu mm- fanyenyi kazi,fanyeni yenye maana kwa maendeleo yenu binfsi mimi na niacheni ni dili na yangu na maisha yangu- shikeni adabu zenu , anzeni kubadilisha familia zenu! maisha yenu! mahusiano yenu na matatizo yenu!
Nasema hivi mimi ntabaki kuwa yule yule- na nyinyi mlionicheka baada ya ku post natembea beach na dira- nawaambia tu ni kwa ajili ya mwezi wa ramazani- mtaendelea kuona picha za bikini na beach na fashion zangu na maisha yangu! maneno yenu ya kijinga hayatanibadilisha.
 Nitaishi ninavyo taka mimi sio nyinyi na mtaniona na mwanangu kila siku , nikomeni jamani jirekebisheni nyinyi kwanza- au anzieni makanisani! misikitikini mapandri na mashehe wanao baka- anzieni kwa viongozi wavaa masuti wanao waibia na kufanya mabaya! mimi na ushenzi wa mavazi yangu niacheni!!!!
Mabaya yote unayo yafanya leo kwani yalitokana ma mavazi ya mama zenu! wezi wabakaji! wanafki' wauwaji mama zao walivaa kama mm komeni! walevi na malaya wote mama zao walivaa kama mm ? vibaka wote wavuta unga mama zao walivaa kama mimi- nikomeniiiiiiiiii nimechoshwa na maneno yenuuuuuu/ rekebisheni makwenu na maisha yangu mm nacheniiiiiiiiiiiiiiii/ nimewachokaaaaaaaaaaaaaaaa....... ushezi unao fanya leo umefundishwa na mama yako alieva kitengeeeeee- mnikomeeeeeeeeeeee.BONGO MOVIE

No comments