Godbless Lema akamatwa na polisi 7:06:00 AM Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema leo April 27, 2018 amekamatwa na polisi na kufunguliwa kesi mpya kuhusu uchochezi kwa ndoto al...Read More
Maalim Seif asema Waraka wa Maaskofu KKKT Umemfariji 9:12:00 AM Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amelipongeza Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa kuto...Read More
Diwani Chadema atimkia CCM, kisa biashara zake haziendi vizuri 8:01:00 AM Matukio ya Madiwani kuhama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) yamezidi kushika kasi, ...Read More
Spika Job Ndugai apangua kamati za Bunge 7:57:00 AM Spika Job Ndugai amefanya uteuzi wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Machi 12,201...Read More
Maandamano Yamwibua John Cheyo....Ataka Mabaraza ya Vyama Yatumika Badala ya Watu Kuandamana 10:41:00 AM Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo amesema mabaraza ya vyama vya siasa yakitumika kikamilifu yanaweza kuondoa malalamiko ya wananchi na viong...Read More
Jeshi la Polisi lawapiga marufuku ACT Wazalendo kufanya mikutano ya ndani 10:40:00 AM Jeshi la Polisi wilayani Mvomero Mkoani Morogoro limekiamuru chama cha ACT Wazalendo wilayani humo kusitisha kufanya mikutano ya ndani ...Read More
Mwigulu aonya atakayeandamana ‘hata kuzunguka kitanda’ 10:39:00 AM Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amesema amemuagiza na kumuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro kuwa...Read More
Mbunge wa CCM ajitosa jimbo la Lissu, aanza kutoa misaada 10:34:00 AM Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu (CCM) ametoa msaada wa vitanda vya kujifungulia katika jimbo linaloongozwa na Tundu Lissu (...Read More
Rais Magufuli Aahidi kumpa Kazi Dr Kimei wa CRDB 6:58:00 AM Rais John Magufuli amesema licha ya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk Charles Kimei anakaribia kustaafu ameahidi kumpatia nafasi kati...Read More
Bashe: Lolote Litakalonikuta ni Mipango ya Mungu 8:25:00 AM Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe amewahakikishia wananchi wa Tanzania kuwa hoja yake aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge kuwa haiwez...Read More