Header Ads

IMEVUJA...Sikiliza Sauti ya Dongo Janja Akimtongoza Msichana..Afunguka Yote Mpaka Kuwaponda na TIP TOP Connections..

Ikiwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tusikie Dogo Janja kurudi Tip Top Connection bado tunasubiri ujio wake mpya akiwa na kundi lake hilo la zamani,Nimefanikiwa kupata sauti ya Dogo Janja Akimtongoza Msichana Na Kufunguka yote kuhusu Tip Top Connection Kumbania...

Majibu aliyotoa Dogo Janja ndiyo yanayobeba kitu tunachojiuliza kama ana bifu tena na Tip Top Connection,unaweza kusikiliza kwa kubonyeza link hapo chini.

No comments