Watatu Wafariki kwa Radi.
Mvua kubwa iliyoambatana na radi imesababisha vifo vya Watu watatu Mkoani Geita vilivyotokea kwa nyakati tofauti.
Katika matukio hayo moja limetokea kijiji cha Nkome na kusababisha watu wawili wa familia moja kufariki na moja limetokea mtaaa wa nyakabale Mjini Geita na kupelekea mtu kupoteza maisha.
Post a Comment