Header Ads

WANAWAKE WAWILI WAUAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA GEITA.

Wanawake Wawili wa familia moja waliofahamika kwa majina ya Ester Mussa mwenye umri wa miaka 60 na monika Mandege miaka 70 wameuwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali na watu wasiofahamikakatika Kijiji cha Bung’wangoko Wilayani Geita.


Chanzo kikubwa cha Mauaji haya ni imani za kishirikina ambapo marehemu Monica alikuwa akituhumiwa kuwa ni mchawi na ndipo watu wasiojulikana wakawavamia nyumbani kwake na kufanya mauaji hayo.

No comments