Header Ads

Shehena kubwa ya bidhaa za magendo yakamatwa katika bandari bubu Tanga ikitokea Zanzibar.


Shehena kubwa ya Bidhaa Haramu ikiwemo Matairi,sukari,mafuta ya kupikia imekamatwa Bandari bubu Tanga kutokea Zanzibar.

Operesheni hiyo imefanywa na Polisi 100 wakishirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama.

Vyombo vilivyohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo vyote vimetaifishwa.
 

No comments