Header Ads

Prof. Lipumba na wafuasi wake 30 Waachiwa Huru na Mahakama Ya Kisutu Leo.


Professor Ibrahim Lipumba alikuwa na kesi pamoja na wafuasi 30 wa CUF katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko bila ya kuwa na kibali cha Polisi.

Kesi hiyo imefutwa rasmi leo  baada  ya DPP kuileleza mahakama kuwa hana nia tena ya kuendelea na kesi hiyo.

No comments