Picha mbalimbali za Wadau wa Sekta ya Elimu Mkoa wa Geita.
Afisa Elimu Mkoa wa Geita Ephrasia Buchuma akitoa taarifa ya hali ya kielimu Mkoa wa Geita katika kikao cha kutangaza matokeo ya Wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2016.
Wadau Mbalimbali wakiwa katika kikao
Post a Comment