VIDEO:BANKY W WIMBO UNAITWA "HIGH NOTES"
Baada ya kimya kingi msanii wa R&B kutoka Nigeria Banky W amerudi kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani na video ya wimbo wake mpya ‘High Notes’.
Wimbo umeandikwa na kusimamiwa na Banky W mwenyewe na video imetengenezwaSouth Africa.. najua tumemzoea kumuona Banky W akiimba lakini kwenye hii video mpya kafanya vitu tofauti kidogo, kwenye badhi ya verse zake msanii huyu anasikika akirap kitu kinachoipa ngoma hii ladha tofauti kidogo.
Cheki video yake hapa down.............
Cheki video yake hapa down.............
.
Post a Comment