PICHA:CHADEMA GEITA YAENDELEA NA KAMPENI.
PICHA NA: Paul Bahebe GEITA.
Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA)jana jumapili kimeendelea na kampeni zake katika viwanja vya stendi ya zamani Geita mjini kunadi mgombea wake wa ubunge Bwana Rodgers Ruhega pamoja na madiwani kutoka kata mbalimbali jimbo la Geita.
Watu waliojitokeza kusikiliza sera za wagombea nafasi ya udiwani na ubunge kupitia CHADEMA.
Mgombea udiwani kata ya Bomba mbili Bw.Mutta Robert akinadi sera za chama hicho na kuomba kura kwa ajili ya mgombea ubunge na Urais mh.Edward Lowassa.
Mgombea ubunge jimbo la Geita kupitia CHADEMA (katikati) Bw.Rodgers Ruhega akifurahia jambo.
Mgombea udiwani kata ya kalangalala Ntenonu akizungumza na wananchi.
Campaign manager wa CHADEMA jimbo la Geita Bw.Fabian Mahenge akisisitiza jambo katika mkutano huo.
Samson kijana anyeimba mashairi maarufu kama malenga akitoa burudani katika mkutano huo jana.
Mmoja kati ya aliyekuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM akikabidhi kadi za chama hicho na kujiunga na Chadema kwa madai kuwa amechoshwa na huko alikokuwa.
Mgombea ubunge kupitia CHADEMA Rodgers Ruhega akinadi sera za chama chake na kuomba ridhaa ya wananchi kumpa kura zao siku ya octoba 25.
Bwana Rodgers Ruhega akipokea michango ya wananchi kwa ajili ya mafuta ili kumwezesha kuzunguka sehemu nyingine pia.
Post a Comment