JENNIFER MGENDI AZINDUA DVD YAKE YA WEMA NI AKIBA.
Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.

Jennifer Mgendi akiimba mbele ya mashabiki wake.

Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr. Barnabas Mtokambali akionyesha DVD baada ya kuizindua.

Baadhi ya watumishi wa Mungu wakiiweka wakfu DVD hiyo.
Post a Comment