RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA PAPA FRANSIS KULIONGOZA KANISA KATOLIKI.
Rais Kikwete akilakiwa na balozi wa Vatican na mwakilishi wa Papa nchini Tanzania Fransisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Fransis kuwa kiongozi wa kanisa katoliki jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam.
Balozi wa Vatican na mwakilishi wa papa nchini Tanzania akihutubia katika hafla hiyo.
Rais Kikwete akigonganisha glasi na Balozi wa Vatican na mwakilishi wa Papa nchini Tanzania na Mwadhama kardinali Polycarp Pengo kwenye sherehe hizo jana jioni.
Meza kuu.

picha chini ni Rais Kikwete,Waziri Membe,Balozi wa Vatican na Kaimu Mufti wa Tanzania Shekh Abubakar Zuber.
Post a Comment